Nature

Jamani anataka turudiane akidai mimba ni yake, nifanyaje?

Naitwa Sonia kutokea Tanga, niliolewa mwaka 2010 huku huku Mombasa nikiwa kama mke wa pili kwa mume wangu ambaye mke wake wa kwanza alikuwa ameshajaliwa naye watoto wawili.

Hii ni ndoa ambayo nilipitia mambo mengi sana kiasi kwamba kamwe siwezi kuja kusahau kabisa maishani mwangu, hiyo ni kutokana sikuweza kubeba ujauzito mapema kama ambavyo mume wangu alitarajia.

Baada ya miaka kama mitatu ndani ya ndoa, mume wangu alianza kupunguza mapenzi aliyokuwa akinipa na kunionyesha kama mke mdogo, mara nyingi alikuwa akikaa zaidi na mke mkubwa.

Hata wiki moja ilikuwa inaisha bila ya yeye kunigusa, kuna kipindi nilikuwa naletewa maneno na marafiki zangu kuwa mke mkubwa anasema ndoa muda sio mrefu itanishinda kwa sababu mimi sizai. Soma zaidi hapa 

Related Posts