Nature
Mzize kwa Sasa ni Lulu Hivyo Hauzwi Kwa hasara, Thamani Yapanda Zaidi CHAN Yanga wanaamini thamani ya Mzize inazidi kupanda siku hadi siku kutokana na kiwango cha Mzize kwenye michuano ya CHAN. Kabla ya CHAN kuanza Yanga walikadiria Mzize ana thamani ya $1m ila kutokana na kiwango chake kwa siku za hivi karibuni Yanga wanahisi thamani yake imepanda zaidi na kama ataendelea kukiwasha basi thamani yake itapanda zaidi hadi $2m. Mauzo ya wachezaji ni biashara kubwa duniani,thamani za wachezaji zinabadilika kila kukicha kutokana na viwango vyao,Yanga pia wanalijua hilo. Mzize kwa sasa ni Lulu hivyo hauzwi kwa hasara.

Mzize kwa Sasa ni Lulu Hivyo Hauzwi Kwa hasara, Thamani Yapanda Zaidi CHAN

Mzize kwa Sasa ni Lulu Hivyo Hauzwi Kwa hasara, Thamani Yapanda Zaidi CHAN

Yanga wanaamini thamani ya Mzize inazidi kupanda siku hadi siku kutokana na kiwango cha Mzize kwenye michuano ya CHAN.

Kabla ya CHAN kuanza Yanga walikadiria Mzize ana thamani ya $1m ila kutokana na kiwango chake kwa siku za hivi karibuni Yanga wanahisi thamani yake imepanda zaidi na kama ataendelea kukiwasha basi thamani yake itapanda zaidi hadi $2m.

Mauzo ya wachezaji ni biashara kubwa duniani,thamani za wachezaji zinabadilika kila kukicha kutokana na viwango vyao,Yanga pia wanalijua hilo.

Mzize kwa sasa ni Lulu hivyo hauzwi kwa hasara.

Related Posts