
“Serikali kwa mamlaka yake kupitia DPP (Mkurugenzi wa Mashtaka) nchini kutumia Kifungu cha Sheria Namba 91, Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ambapo sheria hii inampa mamlaka DPP, mamlaka ya moja kwa moja ya kuamua kumuachilia mtu yeyote ambaye kesi yake haijahukumiwa”
Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Josephat Gwajima akizungumza kupitia televisheni ya mtandaoni usiku wa siku ya Ijumaa.

