Nature

Kumbe Simba Walikuwa na X Factor Ndani ya Timu na Hawajui, Ona Sasa JKT Wamemdaka

Klabu ya JKT Tanzania imemtambulisha mshambuliajii Valentino Mashaka (20) raia wa Tanzania kama mchezaji wao mpya akitokea Simba Sc.

Kupitia taarifa yao kwenye mitandao ya kijamii maafande hao wamesema nyota huyo ndiye mchezaji ‘X-factor’ lakini Simba Sc lakini Simba Sc walikuwa hawajui.

“Yule mchezaji ‘X-factor’ ambaye Simba Sc lakini wenyewe walikuwa hawajui amechagua kujiunga na Mabingwa watarajiwa JKT Tanzania wazee wa kichapo cha kizalendo.” — JKT Tanzania.

Related Posts