
Mwanamitindo na socialite maarufu kutoka nchini Afrika ya kusini Aunty Molly ameeleza juu ya kile kinachoendelea baina yake na harmonize
Aunty Molly ameeleza kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki huyo kama wengi walivyo kuwa wakieleza bali yeye na harmonize ni mtu na mjomba wake tu
wakiwa na undungu kwa upande wa baba na mama yake

