
Baada ya kufuatilia kwa kina kuhusu kocha wa Simba Fadlu Abdulrahman Davis ni kweli kocha ameomba kuondoka Simba japo viongozi wa Simba wamejaribu sana kumshawishi abaki ila Fadlu kagoma kabisa
Inasemekana kuwa Fadlu Davis amepokea offer mbili kubwa kutoka Afrika kusini katika timu ya Kazier Chiefs baada ya kumtimua kocha wao Naby na pia amepokea offer kutoka Raja Casablanca ya nchini Morocco ambako alikuwa kocha msaidiizi kabla ya kujiunga na Simba
Ikumbukwe mwaka Jana Raja Casablanca walimtaka Fadlu lakini kocha akaipiga chini offer hiyo lakini safari hii Fadlu hataki kusikia kitu
Huenda mchezo na Garabone United ukawa wa mwisho kwake kama kocha mkuu 💔

