Emma ni mwanaume mwenye umri wa miaka 39, mkazi wa Kagera. Kwa muda mrefu maisha yake ya kifamilia hayakuwa na furaha kama alivyotarajia. Ingawa alijaliwa ndoa nzuri na mke mwenye upendo mkubwa, changamoto kubwa aliyokuwa anakabiliana nayo ilikuwa kukosa nguvu za kushiriki tendo la ndoa.
Mwanzoni, hali hiyo ilianza taratibu. Alianza kuhisi uchovu usio wa kawaida, hamu ya kushiriki tendo ikapungua, na hata alipolazimisha hakufurahia. Kadri muda ulivyozidi kwenda, hali ikawa mbaya zaidi. Mke wake alianza kubadilika kitabia, si kwa sababu hakumpenda tena, bali kwa sababu alihisi kukosa kile kilicho msingi wa ndoa yenye afya.
Emma alihangaika sana. Aliamua kuzunguka hospitali na vituo mbalimbali vya afya akitafuta tiba. Madaktari walimpa dawa tofauti, wengine wakamshauri abadili mfumo wake wa maisha kwa kula vizuri na kufanya mazoezi. Alijaribu yote, lakini hakupata mabadiliko makubwa. Kila siku alihisi kama tatizo lake linamnyima heshima na furaha ya ndoa.
Kwa kipindi cha karibu miaka mitatu, Emma aliishi kwenye hali ya msongo wa mawazo. Alihisi kukata tamaa, na wakati mwingine alifikiria labda ndoa yake isingedumu. Hata hivyo, moyoni mwake hakutaka kumpoteza mke wake aliyemvumilia kwa muda mrefu. Endelea kusoma zaidi hapa

