Nature

Harufu kali ya kwapa ilifanya akose kujiamini ila tiba ya mimea imemponya

Asha, msichana mwenye umri wa miaka 27 kutoka Tanga, alikuwa na ndoto nyingi maishani mwake. Alikuwa msichana mcheshi, mwenye marafiki wengi na alipendwa na familia yake. Hata hivyo, kuna jambo moja lililokuwa likimnyima furaha ya kweli na kumfanya ashindwe kujiamini mbele ya watu – changamoto ya kutoa harufu kali makwapani.

Tatizo hilo lilianza akiwa katika umri wa ujana, lakini lilipofika katika utu uzima likawa kubwa zaidi. Asha mara nyingi alikuwa akijitahidi kutumia manukato na dawa mbalimbali za dukani ili kupunguza tatizo hilo, lakini haikusaidia. Mara nyingine hata kabla ya saa mbili kupita tangu aoge, harufu isiyopendeza ingeanza kujitokeza. Hali hii ilimfanya apoteze kujiamini na hata kushindwa kushiriki ipasavyo kwenye shughuli za kijamii.

Katika familia yake na hata kazini, alijaribu kulificha tatizo hilo kwa kuvaa nguo nzito na kutumia pafyumu kali, lakini bado hakufanikiwa. Marafiki wake wengine walipoanza kumsema kwa mafumbo, Asha alijikuta akizidi kukata tamaa. Mara kadhaa alijaribu kuonana na madaktari hospitalini na kliniki binafsi. Alipewa dawa za kupaka na zingine za kumeza, lakini tatizo liliendelea. Kila mara alihisi kana kwamba harufu ile inamfuata kila mahali.

Moyo wake ulizidi kuvunjika pale alipokaribia kuolewa. Alihofia mume wake mtarajiwa atagundua tatizo lake na huenda ndoa yao ikakumbwa na changamoto. Mara nyingi Asha alijifungia chumbani akiwa analia, akijiuliza ni lini hali yake ingeisha. Hata baada ya maombi na jitihada nyingi, hakukuwa na mabadiliko yoyote. Endelea kusoma zaidi hapa

Related Posts