
Matumaini ya Tanzania kufuzu kombe la Dunia la FIFA 2026 yamekufa rasmi kufuatia kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya Chipolopolo wa Zambia kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi E kwa Stars huku Zambia ikiweka hai matumaini ya kufuzu.
Zambia itacheza na Niger kwenye mchezo wa raundi ya mwisho ikiwa na matumaini ya kumaliza nafasi ya pili ikiwa itapata ushindi.
FT: Tanzania πΉπΏ 0-1 πΏπ² Zambia
β½ 75′ Sakala
FT: Niger π³πͺ 3-1 π¨π¬ Congo
MSIMAMO KUNDI E
π²π¦ Morocco β mechi 7 β pointi 21
π³πͺ Niger β mechi 7 β pointi 12
πΉπΏ Tanzania β mechi 8 β pointi 10
πΏπ² Zambia β mechi 7 β pointi 9
π¨π¬ Congo β mechi 7 β pointi 1
πͺπ· Eritrea β mechi 0 β pointi 0

