Timu ya Simba SC imeibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki.
“Tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania na kuibuka na ushindi wa mabao 6-0. Taarifa zaidi ingia Simba App.” taarifa ya Simba SC imeeleza

