Nature

Nilivyopata Nafasi ya Kipekee Kazi Baada ya Kufukuzwa Kwa Kudai Haki Zangu

Sikuwahi kufikiria siku moja ningefutwa kazi kwa sababu niliamua kusimama na kusema ukweli. Nilikuwa nimefanya kazi mahali pale kwa miaka miwili mfululizo, na kila mwezi kulikuwa na ahadi za nyongeza ya mshahara, marupurupu, na hata nafasi ya kupanda cheo ambazo zote zilibaki kuwa maneno matupu.

Siku ambayo nilisimama na kuuliza kwa nini majina yetu hayapo kwenye orodha ya wale wanaopata marupurupu, ndipo ikawa mwanzo wa maumivu yangu.

Meneja alinijibu kwa dharau, akasema mimi ni “mjuaji kupita mipaka,” na ndani ya saa 24 nilipokea barua ya kufukuzwa bila hata nafasi ya kujitetea. Niliondoka nikiwa nimekosa sauti, niliyechanganyikiwa, na niliyehisi kama dunia imenigeuka.

Sikuwa na akiba, nilikuwa nimesaidia familia yangu kwa muda mrefu, na hata rafiki zangu wa karibu hawakuonekana kujali nilipoanguka. Wote waliongea vibaya nyuma yangu, wengine wakisema nimejiharibia mwenyewe kwa “kufungua mdomo kupita kiasi.”

Kwa wiki kadhaa nilijaribu kutafuta kazi bila mafanikio. Kila mahali nilienda nilikataliwa. Wengine walisema nafasi zimejaa, wengine walisema hawataweza “kunichukua kwa sasa.” Nilianza kuhisi kama kuna jambo zaidi ya bahati mbaya. Kila jaribio lilikuwa linakwama kama vile kuna kitu kinanizuia kisichoweza kuonekana kwa macho. Soma zaidi hapa

Related Posts