John Heche “Chadema Tunataka Ianzishwe Serikali ya Mpira Tanzania”

“Kwa kuwa Serikali haina uhalali wowote, CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”

“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”

“Itahakikisha kuachiwa huru kwa Wafungwa wote wa kisiasa na wote waliofunguliwa kesi za uongo, itahakikisha kuachiliwa kwa wote waliotekwa nyara na kufichwa katika mahabusu” ——— Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche.

Related Posts