Unaambiwa Allan Okello na Yanga Mazungumzo ya Awali Yamekamilika

ALLAN OKELLO NA YANGA SC MAZUNGUMZO YA AWALI YAMEKAMILIKA

Kiungo mshambuliaji wa Vipers SC, Allan Okello (25) amesaini mkataba wa awali wa klabu ya Yanga SC na amekubali kujiunga na Wananchi

Yanga SC wanaangalia uwezekano wa kupata saini yake dirisha hili dogo la usajili kwa kufanya mazungumzo na klabu ya Vipers SC ambao wamebakia na mkataba wa miezi 6 na Allan Okello na ikishindikana Yanga SC itamsajili dirisha kubwa lijalo la uhamisho kutokana na mwenendo wa performance yake

Related Posts