Taifa Stars baada ya kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON itavuna Dollars 800,000 sawa na Tsh. Bilioni 1.9.
Stars pia imepokea milioni 300 kama zawadi ya kila goli, mechi dhidi ya Uganda goli milioni 100 na mechi ya Tunisia goli milioni 200.
Fedha za CAF kwenye AFCON 2025.
- Bingwa; Dollars milioni 10
- Mshindi wa pili; Dollars milioni 4
- Nusu Fainali; Dollars milioni 2.5
- Robo fainali; Dollars milioni 1.3
- 16 bora; Dollars laki 8
- Nafasi ya tatu Kundi; Dollars laki 7
- Nafasi ya nne Kundi; Dollars laki 5.
