Miongoni mwa sajili zilizotikisa kipindi cha dirisha kubwa kwenye kikosi cha Yanga ni kiungo mshambuliaji Andy Boyeli lakini cha kushangaza klabu hiyo imembwaaga kimyakimya, ambapo kabla ya kutua kwa mkopo yanga alikuwa akiitumikia Shekhune ya Afrika kusini
Mabosi wa Yanga walimsajili kwa matarajio makubwa ya kuwasaidia hasa eneo la mbele kama mbadala wa Stephane Aziz Ki ambapo kiwango chake hakijamridhisha kocha Pedro ndio maana hamuamini sana kumuanzisha kikosi cha kwanza
Endelea kufatilia KishambaMedia kupata taarifa za kimichezo
