Deal la Yanga Kumsajili Allan Okello Lashindikana, Sababu Hizi Hapa

Winga wa Vipers na timu ya taifa ya Uganda Allan Okello, hatojiunga na klabu ya Yanga katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili.

Hii ni kwa sababu ya pesa kubwa ambayo wanaitaka Vipers ili kumuachia saa huyo lakini pia Yanga inaofia kuwa hawataweza kumtumia katika michuano ya kimataifa msimu huu kwakua tayari amecheza akiwa na Vipers.

Yanga tayari wamepata mbadala wa Okello na watamatambulisha wakati wowote kutoka sasa.

Hata hivo tayari Okello na Injinia walikaa Meza moja na anaweza kujiunga na Yanga katika kipindi cha dirisha kubwa la usajili hapo mwezi juni mwaka huu.

Wananchi hapo vipi??

Related Posts