Ahmed Ally Atupa Dongo Zito kwa Yanga “Uwanja wa Mkapa Umejengwa Kwa Ajili ya Simba”

Meneja was habari na mawasiliano wa klabu ya simba Ahmed ally leo Mara baada ya ushindi dhidi ya JKT Tanzania 2-1 amewatupia dongo wapinzani wao Yanga kwa kudai kuwa Yanga wemekimbia uwanja wa Benjamini Mkapa na uwanja huo umejengwa kwa ajili ya Simba tu.

Hii imekuja Mara baada ya klabu ya Yanga kubadili uwanja wake wa kuchezea michezo ya kimataifa na kuhamia katika dimba la New Amaan Complex Zanzibar.

Related Posts