Ali Kamwe Amshambulia Vibaya Meena Ally Mitandaoni! Kumuonyesha Rio goli la Chama “tutaharibu”

Ali Kamwe amshambulia vibaya Meena Ally mitandaoni! Kumuonyesha Rio goli la Chama “tutaharibu”

Wizara ya Habari na Michezo inatumia nguvu na akili nyingi sana kuiuza AFCON Hapa kwetu kwa kuleta wageni mbalimbali wakiwemo wachezaji wastaafu wa Ulaya.. Sasa Waandishi mnaopata nafasi ya kuongea na hao wachezaji, naomba Jikiteni kwenye AJENDA ya Taifa .. Achaneni na Ushabiki wa mpira wa nyumbani hapa. Mtaharibu Hili jambo.

Kwa mfano Sisi @yangasc tunajua huyo Beki alikuwa Mvunja kuni tu pale Manchester aliyekuwa anabebwa na Nemanja Vidic.. Lakini Tumekausha kwa sababu ya kuheshimu juhudi za Wizara

Tafadhali sana, Tubebe Ajenda ya TAIFA na tuache Ushabiki.

Related Posts