Nature

Ali Kamwe Anahamasisha Agenda Kufuta Aibu ya Madai ya Andabwile

Aziz Andambwile alikua anaidai Yanga signing fees ya Million 50 ambayo alipaswa kulipwa kabla ya mwezi october
Ila usela kwenye kazi ukapelekea wasimlipe kiungo huyo fundi mpaka alipoamua kudai pesa zake,
Baada ya Nassib Mkomwa kufichua sakata hili kupitia page zake za mitandao ya kijamii Yanga walikasirishwa na hilo wakiamini ni aibu kwa taasisi na kuanza kumshambulia Mkomwa
Mbali na hivo waliamua kumuingizia Aziz Andambwile pesa zake zote haraka sana na kumwambia akanushe madai ya kwamba anaidai klabu pamoja na kuondoa kesi yake ya madai TFF wakisema kua inachafua taswira ya klabu.

Katika kuhakikisha wanahamisha ajenda,ndo wakaja na wazo kwamba waanze kuzungumzia mkataba wa Simba na Jayrutty kuhusu zile ahadi alizotoa baada ya kutangazwa kama mzabuni rasmi wa jezi za Simba 😁

Ila sasa haina mashiko kwasbabu kwa Simba hakuna alielalamika tofauti na kwao ambapo mchezaji na wakala wake walilalamika

By Heavyweight Dullar

Related Posts