“Aliingiza Yote Nikiona” Mwanaume Apiga Nduru Anapofika Nyumbani na Kumsikia Mkewe Akisema “Naskia Utamu”

Samaki mkunje angali mbichi. Lakini vipi kama umechelewa na tayari umeikuta nyumba yako imejaa usaliti? Hiyo ndiyo hali iliyomkumba Joseph, mwanaume wa miaka 38 kutoka Kisumu, ambaye alirudi nyumbani mapema siku moja na kukutana na tukio ambalo halikuwahi hata kulifikiria maishani mwake.

Alikuwa ameoa kwa miaka tisa. Ndoa yao ilionekana tulivu kwa nje, lakini ndani kulikuwa na ukimya mwingi, umbali wa kihisia na malalamiko yasiyosemwa. Joseph alikuwa bize na biashara…ENDELEA KUSOMA

Related Posts