Jina langu ni Grace Momanyi. Mimi ni mke na mama ambaye zamani nilimwamini sana mume wangu kwa moyo wangu wote. Lakini wakati mwingine, watu tunaowaamini zaidi ndio hutuumiza zaidi.
Kwa miezi kadhaa nilianza kuona mabadiliko kwa mume wangu. Alikuwa kila wakati kwenye simu yake, akitabasamu akisoma ujumbe kisha akificha simu haraka…SOMA ZAIDI
