Je, kuna maumivu makali kama ya kusalitiwa ndani ya mali uliyoijenga kwa jasho lako? Hiyo ndiyo hali aliyopitia George, mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi kutoka Athi River, alipomkuta mkewe akiwa na dereva wao ndani ya gari lao wenyewe katika maegesho ya go-down yake.
George alikuwa ameoa kwa miaka kumi. Biashara yake ilikua polepole hadi akaajiri dereva wa kumsaidia kusambaza mizigo. Dereva huyo, Kevin, alikuwa kijana mtulivu na mwenye heshima kwa nje. Hakukuwa na dalili za wazi…SOMA ZAIDI
