Nature

Alivyopambana na changamoto ya kushindwa kutungisha mimba hadi kuishinda

Salmini, kijana mwenye umri wa miaka 37, alikuwa na ndoto moja kuu maishani – kuwa baba. Alikuwa ameoa kwa zaidi ya miaka saba, akiishi na mke wake kwa upendo, mshikamano na matumaini ya siku moja kubarikiwa na mtoto. Lakini kadri miaka ilivyopita bila dalili yoyote ya ujauzito, huzuni ilianza kuchukua nafasi ya furaha ndani ya ndoa yao.

Kila mara Salmini alijikuta akitafakari kwa kina: “Je, shida iko kwangu? Au kwa mke wangu?” Walijaribu kila njia—kutembelea hospitali kubwa za rufaa, kliniki za uzazi, na hata waganga wa kienyeji waliodai kuwa na tiba ya matatizo ya uzazi. Lakini majibu yalikuwa yale yale: hakuna mabadiliko.

Salmini alikumbwa na msongo wa mawazo. Alijitenga na marafiki, akaanza kuepuka vikao vya familia ambavyo mara nyingi vilikuwa na maswali ya “Mbona bado hamjapata mtoto?” Alijiona kama ameshindwa kutimiza wajibu wake wa kiume. Mke wake, ingawa alikuwa mvumilivu, naye alianza kuonyesha dalili za kuvunjika moyo.

Siku moja, akiwa ameenda kutafuta dawa za mitishamba katika mtaa wa Kariobangi jijini Nairobi, alikutana na rafiki wa zamani aliyeitwa Mussa.

Mussa alimweleza kuhusu kituo cha tiba asilia kiitwacho Africure Herb, kinachojishughulisha na kutibu matatizo ya uzazi kwa kutumia mimea, mizizi na matunda. Salmini, ingawa alikuwa amechoka na ahadi zisizotimia, aliamua kujaribu mara moja ya mwisho. Endelea kusoma zaidi hapa

Related Posts