Nyota wawili wa Yangasc ambao wamesajiliwa kwenye dirisha dogo hili la usajili Laurindo Dilson Maria Aurélio (DEPU) pamoja na Allan Okello wanatarajiwa kuwasili nchini Tanzania siku ya kesho
Huku uongozi wa Yangasc wanafikiria kuwapatia zawadi mashabiki wa soka visiwani Zanzibar kwa kuwapeleka na kutambulishwa pale uwanjani kwa mara ya kwanza.
