
Mwanamke Aeleza Jinsi Alivyotoroka na Kuanza Maisha Mapya Baada ya Kugundua Bwanake Amejiunga na Cult“Nilijua mapenzi yetu hayakuwa rahisi, lakini sikuwa tayari kwa hiki nilichokikuta,” mwanamke huyu aliandika.
Alianza kugundua mabadiliko madogo kwa mume wake.Tabia zake zilibadilika ghafla; alikua na siri, alikaa muda mrefu mbali na familia, na mara nyingi alionekana kuwa kwenye mawazo mazito ambayo hakutaka kuyashiriki.Awali alidhani ni msongo wa kazi au matatizo ya…ENDELEA KUSOMA
