“Ametolewa Suruali” Mwanaume Katolewa Suruali Hadharani Baada Ya Kushindwa Kulipa Deni Lake

Je, kuna mzigo mzito kama deni linalokufanya uogope hata kupokea simu? Hiyo ndiyo hali aliyopitia James, mfanyabiashara mdogo wa vifaa vya ujenzi kutoka Nakuru, ambaye alikopa mtaji wa kukuza biashara yake lakini mambo yakaharibika ghafla. Ndani ya miezi michache alijikuta amezama kwenye madeni, simu za wadai zikimiminika kila siku.

James alikuwa ameazima pesa ili kuagiza mzigo mkubwa akiamini atauza kwa faida. Lakini soko liliporomoka, na baadhi ya wateja wakashindwa….SOMA ZAIDI

Related Posts