Nature

Baada ya Kipa André Onana Kufanya Vibaya Man United, Aamua Kutimkia Timu Hii

Mlinda mlango wa timu ya taifa ya Cameroon, André Onana amekubali kujiunga na klabu ya Trabzonspor ya Nchini Uturuki kwa mkataba wa mkopo akitokea Manchester United siku moja baada ya vilabu hivyo kufikia makubaliano.

Trabzonspor imekubali kumchukua nyota huyo wa zamani wa Ajax Amsterdam na Inter Milan kwa mkopo mpaka Juni 2026 usio na kipengele cha kumnunua jumla, hakuna ada ya mkopo.

Related Posts