Ibrahim Bacca ameingia kwenye macho ya wengi mara baada ya CAF kumtaja kuwa mchezaji wa Tanzania anayefaa kutazamwa zaidi kutokana na kiwango chake cha juu katika mechi za kufuzu AFCON 2025.
Sio Bacca peke yake Hussein pia ameshikilia nafasi yake kikamilifu na wote wamecheza dakika zote 90 katika mechi zote 6 za kufuzu Hii inathibitisha jinsi walivyo nguzo muhimu ndani ya kikosi cha Taifa.
