Nature

Dkt. Tulia Ackson Achukua Form Kugombea Ubunge Jimbo Jipya la Uyole Mbeya

Dkt. Tulia Ackson Achukua Form Kugombea Ubunge Jimbo Jipya la Uyole Mbeya

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amechukua na kurudisha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mbeya mjini leo tarehe 28 Juni, 2025.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *