Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA UDAKU
  • Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa Mkasa….
HABARI ZA UDAKU Sports News

Ellie Mpanzu Aigomea SIMBA Kuingia Kambini, Kisa Mkasa….

July 24, 2025July 24, 2025 Udaku Special

JUST IN:

Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Ellie Mpanzu Ameugomea Uongozi wa Simba Uliomtaka ajiunge na kambi ya Simba Hapo Kesho akishinikiza Klabu hiyo ilipe AJ Vanquer kiasi cha Shilingi Milioni 190 za Ada ya Usajili ambayo Simba wanadaiwa.

AJ Vainquer ni Wasimamizi na Wamiliki wa Mchezaji Ellie Mpanzu.

Taarifa za Kuaminika Kutoka kwenye vyanzo Rasmi vya Mchezaji huyo vinasema Mpanzu hatajiunga na kambi ya Simba Mpaka Pale Deni Hilo litakapolipwa.

Elie Mpanzu

Related Posts

HABARI ZA UDAKU

Mvua yakwamisha Usafiri Mwanza, Mafuriko Kila Kona

March 11, 2026 Udaku Special
HABARI ZA UDAKU

Mfanyabiashara Rostam Ainunua Nation Media ya Kenya

March 11, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: RUTO Kichwa Ngumu, Apuuza Kibabe Kampeni za “Ruto Must Go”
Next: Mwanamieleka Maarufu Hulk Hogan Afariki Dunia

Popular Posts

  • Ripoti ya Ujasusi ya Marekani ilibaini Serikali ya IRAN Haiwezi Kuanguka hata ishambuliwe vipi!

  • Polisi Pwani Kuhusu Bawacha “Walikuwa Wanaenda Kutekeleza Uhalifu”

  • Rais wa Ukraine Zelenskyy “Marekani Imeniomba Msaada Dhidi ya Drones za Iran”

  • Yanga Yalalamika Kuhusu Adhabu na Makosa ya Waamuzi Ligi Kuu

  • Miaka 7 Jela kwa Kutumia Vyeti FEKI vya Marehemu

  • Iran yasema Uwezo wake wa Makombora ni Mkubwa kuliko ‘Maadui’ wanavyodhani

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.