Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ester Bulaya (@bulayaester), ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa kuchukua fomu katika zoezi ndani ya CCM lililoanza leo.

