Ex Aliapa Peupe Hatanirudia Baada Ya Kucheati Njia Hii ya Kipekee Ilimvuta Kurudi

Baada ya kunicheat, uhusiano wetu ulivunjika vibaya. Aliniambia waziwazi hatarudi tena, hata nikijaribu kiasi gani. Maneno yake yaliniumiza, sio tu kwa sababu ya kuachwa, bali kwa sababu nilijua nilikuwa nimekosea.

Nilijilaumu, nikajuta, na nikaanza safari ngumu ya kujijenga upya nikiwa peke yangu. Sikuanza kwa kumfuata. Nilianza kwa kujitazama. Nilijifunza kukaa kimya, kukubali makosa yangu, na kubadilisha mienendo yangu.

Nilijenga nidhamu, nikabadilisha marafiki, na nikaanza kujiheshimu tena. Mabadiliko hayo hayakuwa ya kuigiza; yalitoka moyoni. Hapo ndipo nilitambua kuwa hata asiporudi, nilihitaji kupona mimi kwanza. Soma zaidi hapa

Related Posts