Mchezo umemalizika kati ya ASFAR dhidi ya JS Kabylie kwa ushindi wa bao 1-0 huku wakikusanya alama 05 mpaka sasa kwenye kundi B na kusogea mpaka nafasi ya pili.
Far Rabat wana davantage kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Yanga SC maana watakuwa nyumbani Rabat huku Yanga pia wakiwa na alama 05 kwenye msimamo.
Kama wametibua hesabu za Yanga SC kufuzu kirahisi hatua ya robo fainali ambayo wamebakiwa na michezo miwili.
Mchezo ujao Yanga SC dhidi ya Far Rabat wanahitaji ushindi tu ili wamalize kazi kiurahisi New Amaan Complex dhidi ya JS Kabylie.
