Gambo Apigwa Chini Uteuzi CCM Arusha Mjini, Yumo Paul Makonda na Wengine 6

Chama cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea saba kugombea Ubunge Arusha Mjini akiwemo Paul Makonda,
Ally Said , Hussein Gonga, Aminata Teule, Mustapha Nassoro, Ruhembo , Kishugua huku aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Mrisho Gambo akiachwa.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.

Related Posts