Mohamed Bajaber Star Boy kama anavyoitwa pale 254 🇰🇪amesajiliwa na Simba SC msimu huu na hakuwahi kucheza mechi hata moja ya mashindano kwa sababu ya majeraha.
Amekaa nje kwa zaidi ya miezi mitatu sawa na mizunguko mitatu ya Ligi kuu na leo amepewa nafasi kwa mara ya kwanza , tukio la kuvutia kwenye dakika 6 alizopewa na Matola amefanikiwa kufunga bao lake la kwanza NBC PL
Ni dakika moja tu tangu kuingia kwake , touch ya kwanza akiwa na jezi ya Simba , Touch ya kwanza kwenye mechi rasmi anaingia kwenye scroresheet, what a night for him
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : NBC Premier League
SIMBA SC 3-0 MBEYA CITY FC
⚽️ 38″ Abraham
⚽️ 38″ Sowah
⚽️ 84″ Bajaber
