Nature

Haji Manara Achukua Fomu Kugombea Cheo Hichi CCM

Haji Manara Achukua Fomu Kugombea Cheo Hichi CCM

Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Haji Manara Achukua Fomu

Zoezi la uchukuaji fomu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima, ambapo watia nia mbalimbali wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani

Haji Manara Achukua Fomu

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *