Hali ya Kiusalama ya Bobi Wine Sio Nzuri, Ataka Umoja wa Mataifa Kuingilia

Wakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, Robert Amsterdam, ameutaka Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa kutoa dhamana za usalama kwa kiongozi huyo kufuatia vitisho vikali baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao Nchini Humo.

Amsterdam amesema kauli za kiholela kutoka kwa mkuu wa jeshi, Muhoozi Kainerugaba, zimeongeza wasiwasi wa usalama, na kuitaka jumuiya ya kimataifa kuhakikisha dhamana zinazoweza kuthibitishwa ili Bobi Wine arudi salama kwa familia yake bila madhara.

Related Posts