Nature

Halima Mdee Agoma Kabisa Kumfuata Ester Bulaya ‘Sina Pa Kwenda’

Wengi walidhani baada ya Mbunge Ester Bulaya Kurudi CCM walitarajia rafiki yake Halima Mdee huenda angehamia chama kingine.

Hali imekuwa tofauti baada ya kauli ya Halima Mdee huku akisema hawezi kuhama Chadema kwani ndipo nyumani kwao.

“Wengine wanakuja na kuondoka kwasababu wana kwao na wanarudi kwao, Mimi siwezi kuondoka CHADEMA kwakuwa hapa ndio kwetu na sina kwingine pa kwenda ambapo ni kwetu, kwetu ni hapa”

Related Posts