Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • Hans Rafael; Fadlu Anakazi ya Kufanya, La Sivyo Yanga Watajipigia Tena
Sports News

Hans Rafael; Fadlu Anakazi ya Kufanya, La Sivyo Yanga Watajipigia Tena

September 11, 2025September 11, 2025 Udaku Special
Kocha Fadlu
Kocha Fadlu

Siku zote ushindi huwa unafunika makosa ila Fadlu bado ana kazi kubwa ya kufanya.

Ni kweli Gör mahia wamepoteza mechi ila kuna nyakati waliwageuza Simba watoto wadogo.

Kuna Muda Simba wali switch-off nakuweka O pressure kwenye mpira.

Kama Gör wanaweza kupiga pasi 15-18 bila pressure yeyote vipi tarehe 16 dhidi ya Yanga?

Kama alivyosema Fadlu huu ni mwaka wa mafanikio…..nadhani hili atalifanyia kazi haraka sana.

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Kocha Wa Simba Afunguka Simba Day 2025 “Msimu Huu Ni Wa Mataji”
Next: Azim Dewji Hajaridhishwa na Kiwango cha Simba Mchezo Wa Leo, Afunguka mazito

Popular Posts

  • Hizi Hapa Hesabu Konki za Yanga Kufuzu Robo Fainali Klabu Bingwa

  • Uhasama Usioisha: Kwanini Donald Trump anamchukia sana Barack Obama

  • Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11

  • Wekundu wa Msimbazi Simba Waumaliza Mwendo Ligi ya Mabingwa Afrika

  • Timu Zinazocheza Soka la Kuvutia Mashindano ya CAF Zatajwa

  • Tundu Lissu “Nimekaa Gerezani Siku 307, Kesi Imesikilizwa Siku 14 tu”

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.