Harmonize Amvisha Kajala Pete ya Uchumba Kwa Mara ya Pili

Kupitia Instagram yake @harmonize_tz ameandika haya:- “UPENDO & HESHIMA Ninayokupa Vinanirudia Kwakuwa Nakupenda Basi Najipenda Zaidi Nawaza Maendeleo Zaidii Niwe Tajiri Zaidi Nikutunze Vizuri zaidi Najikuta Natoboa
Mdogo Mdogo Nami Nasogea ALHAMDULILAH
nikipata Nafanya Vitu Vya Maana ..!!

ili Nikuvutie Narudi GYM ili Unisikie Zaidi Basi Nitakesha
Studio ..!! BABY YOUR MY LIFE Inspirational

Kifupi Mimi Ndio Ninafaida Kubwa Zaidi ..!!! kati Yetu !!
Tukirudi Kwenye Heshima, Kwakuwa Nakuheshimu Najitathmini
mara kwa Mara Kabla Ya Kusema Au Kufanya Chochote Maana Kinabeba Picha Ya watu Wawili Sio Mimi Pekeangu Umenijenga And Unaendele Kunijenga Niwe gentlemen Zaidi NAHESHIMIKA
ZAIDI BECAUSE OF YOU WIFE
KUKUPENDA NA KUKUHESHIM sio PROMISS tena..!! HERE WE ARE DECEMBER 29

thanks A lot for trusting and always be at my side I will
never take it for granted this is my last card kwenye Mchezo wa Maisha ..!!! 10 YEARS LATER STILL FILLS LIKE WE ARE STARING MKEWANGU @kajalafrida
#hk4ever

Related Posts