Nature

Mrembo Anaedaiwa Kutoka Kimapenzi na Harmonize Adai Hamo ni Mjomba Wake sio Mpenzi

Mwanamitindo na socialite maarufu kutoka nchini Afrika ya kusini Aunty Molly ameeleza juu ya kile kinachoendelea baina yake na harmonize

Aunty Molly ameeleza kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki huyo kama wengi walivyo kuwa wakieleza bali yeye na harmonize ni mtu na mjomba wake tu

wakiwa na undungu kwa upande wa baba na mama yake

Related Posts