Harmonize “Namfungulia Kesi Mtu Yoyote Atakayesema Diamond Platnumz Kanisadia, Hastaili”

Harmonize ameendelea kusisitiza msimamo wake na kwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa mtu yoyote atakaesema kuwa alisaidiwa na Diamond Platnumz au kulitaja Jina lake chini ya Diamond basi atamfungulia kesi na ameshaongea na mwanasheria wake kuhusu hilo.

Harmonize amedai kuwa Diamond Platnumz hastahili heshima hiyo kwasababu alimpeleka basata na kumtaka alipe milioni 600 bila huruma na Alifanya hivyo,anadai kuwa Diamond sikuzote anafurahia anguko lake hivyo hastahili heshima hiyo.

Related Posts