Hatimaye Mke wa Mwijaku Ajitokeza na Kiandika Haya “Sitaki Kuendelea na Ndoa Hii”

Aliyekuwa Mke wa Mwijaku(aliciousm) Kupitia insta Story yake ameeleza hisia zake kuhusu kile kinachoendelea Kati yake na Mwijaku akisema kwamba ameamua kuachana na Mwijaku baada ya muda mrefu wa changamoto na maumivu Katika ujumbe wake aliandika:

“Naumia kusema hivi lakini sitaki tena kuendelea na wewe Tumepitia mengi sana na siwezi kuendelea kama hivi Ninaamua kuachana nawe Siku moja nadhani utaangalia nyuma na kutambua kwamba kwa sasa umepoteza kitu cha thamani kubwa sana kilichokutokea.”

Related Posts