Nature

Heshima Aliyopewa Fadlu Akitambulishwa Raja Casablanca, Hata Wewe Ungeenda

Raja Club Athletic wamemtambulisha aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, kama kocha wao mkuu mpya. ✍️

🟢 Katika taarifa yao rasmi, Raja walisema:
“Davids alikuwa miongoni mwa watu muhimu katika historia ya msimu wa 2023/24, ambapo tulitwaa ubingwa wa Botola Pro bila kufungwa.” 👑

Kocha huyu mwenye falsafa ya soka la kisasa anaingia Morocco akiwa na kumbukumbu nzuri za mafanikio, huku mashabiki wa Raja wakitarajia mwendelezo wa ubora na historia mpya chini yake.

Related Posts