Huyu Hapa Mwamuzi Atakae Simamia Derby ya Kesho Yanga na Simba

Bodi ya Ligi imetoa orodha wa waamuzi watakaochezesha mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa siku ya Jumapili, Machi 01, 2026 katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.

Mwamuzi wa Kati atakuwa Nassoro Mwinchui kutoka Tanga akisaidiwa na Kassim Mpanga (kutoka Dar es Salaam kama Mwamuzi msaidizi 1 na
Hamdani Said kutoka Mtwara kama Mwamuzi msaidizi 2.

Mwamuzi wa Akiba ni Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam huku Mtathimini waamuzi akiwa Israel Mjuni kutoka Dar es Salaam.

Related Posts