Nature
January Makamba Apigwa Chini Uteuzi Ubunge CCM, 6 Wengine Wateuliwa

January Makamba Apigwa Chini Uteuzi Ubunge CCM, 6 Wengine Wateuliwa

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea sita kugombea Ubunge Jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga akiwemo Hidaya Kilima, Zahoro Rashid Hanuna, Eng. Ramadhan Singano, Rashid Salimu, Silas Joram na John Aloyce huku Mbunge wa sasa Jimbo hilo January Makamba jina lake likiachwa.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.

Related Posts