Nature

Je, Una Kiu ya Kumpata Mwanaume wa Ndoto Zako?, Fanya hili

Katika maisha kila mmoja kuna jambo ambalo anakuwa anatamani siku moja lije kumtokea, nami ndivyo ilivyokuwa baada ya upweke mara baada ya kuumizwa vikali katika mahusiano.

Jina langu ni Patricia, binti mrembo wenye umri wa miaka 28, naishi Dodoma Tanzania, nina elimu ya Chuo Kikuu nikiwa nimebobea upande wa Rasilimali Watu (HR), nimeajiriwa toka mwaka 2016.

Tangu nasoma shule msingi hadi sekondari sikuwahi kuwa na mahusiano yoyote kwani nilijituma katika masomo, mwanaume wangu wa kwanza nilikutana naye Chuo Kikuu, nilimpenda sana. Naye alionyesha kunipenda na kunijali, lakini kweli ni kwamba alikuwa na mke ambaye alikuwa anaishi nje ya Chuo.

Nilishtuka pale ambapo kila Wikiendi ambapo nilitegemea mimi na yeye tutakuwa pamoja tukitoka na kwenda kufurahi, yeye aliniaga na kuniambia anaenda nyumbani kwao mara moja na atarejea Jumapili jioni. Hali ile nilikuwa siipendi kwani rafiki zangu wakati huo ndio walikuwa wanatoka na wapenzi wao.

Basi baada ya kama mwaka mmoja na nusu wa mahusiano yetu, siku moja nilishika simu yake yeye akiwa bafuni anaoga, nilishtuka nilipokuta kuna mwanamke anawasiliana naye.

Huyo mwanamke alikuwa amemtumia picha za mtoto na kuandika maneno hayo; mwangalie mtoto wako anazidi kukua, sema tu tunakumisi mume wangu.

Nilichukua namba ya yule mwanamke na kwenda kuwasiliano naye, kweli alinieleza yeye ameolewa na huyo mpenzi wangu, basi mpenzi wangu alipojua nimewasiliana na mke wake aliniambia tuachane.

Kipindi hicho niliishi nikiwa na msongo wa mawazo sana, niliingia mtandaoni kusoma namna ya kuondokana na msongo wa mawazo utokanao na mapenzi. Nilikutana na ushuhuda wa dada mmoja ambaye alielezea kuwa Kiwanga Doctors alimsaidia kumpata mpenzi wa ndoto zake, niliingia kwenye tovuti yake na kupata namba yake.

Niliwasiliana naye na kumwambia namtaka mwanaume wa kwangu pekee yangu, kwani nataka nitakapomaliza Chuo nisikae muda mrefu bila kuolewa. Kiwanga Doctors alianiambia nisijali kwani ameshawasaidia wanawake wengi kama mimi na kupata wanaume wa ndoto zao.

Haikuisha wiki moja, wanafunzi wa Chuo kingine walikuja Chuoni kwetu kwa ajili ya mdahalo, siku ya hafla hiyo ndipo nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Anaitwa Romy, toka mkoani Arusha, siku hiyo baada ya mdahalo tulibadilishana namba za simu, usiku wake tuliweza kuongea kwa kiasi chake.

Katika mahusiano yetu, Romy alikuwa ananitoa out kila wikiendi na kunipa zawadi, yeye alimaliza Chuo kabla yangu, kwa bahati nzuri alipata kazi hapa Dodoma. Mara kwa mara nikiwa na nafasi nilikuwa naenda kumtembelea nyumbani kwake na tunapanga mipango ya maisha yetu ya baadaye.

Niliomaliza Chuo mara moja alienda kujitambulisha nyumbani kwetu, kizuri zaidi aliniunganishia kazi ofisini kwao, hivyo tukaanza kwenda kazi pamoja. Haikuisha miezi sita akanitolea mahari, mimi na Romy tulifunga ndoa ya kifahari jijini Arusha, wafanyakazi wenzetu walikuja na kutuzawadia kiwanja na gari dogo aina ya IST.

Sasa ni takribani miaka saba ndani ya ndoa, tumejaliwa kupata watoto wawili wa kiume, kila siku Romy anazidi kunipenda, kizuri zaidi anawapenda sana wazazi wangu. Tumefanikiwa na kufungua biashara ambayo ni mdogo wangu wa kike anaisimamia, shukrani kwa Kiwanga Doctors kwa kunipatia zawadi hii.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *