Nature

Jinsi Nilivyoshinda Maumivu Makali Ya Kichwa Yaliyokuwa Yananitesa Kila Siku Mpaka Sasa Naishi Bila Wasiwai

Kwa Muda Mrefu, Maisha Yangu Yalikuwa Yamejaa Mateso Ya Ajabu Kwa Sababu Ya Maumivu Makali Ya Kichwa. Kila Siku Nilipoamka, Nilihisi Kama Kichwa Kinapasuka. Mara Nyichine Nilikuwa Nikiona Mwanga Unakera Sana, Nikashindwa hata Kufumbua Macho Yangu Vizuri.

Kulala Usiku Kuligeuuka Kuwa Mateso, Kufanya Kazi Kulikuwa Changamoto, Na Hata Familia Yangu Waliona Jinsi Nilivyokuwa Dhaifu. Maumivu Yale Hayakuwa Ya Kawaida, Yalikuwa Yanakuja Kwa Nguvu Na Kunifanya Nipoteze Matumaini Ya Kuishi Maisha Ya Kawaida.

Nilijaribu Kila Anana Ya Dawa Hospitalini. Madaktari Wankipatia dawa za Kupunguza Maumivu, Lakini UKweli ni Kwamba Dawa Hizo Zilikuwa Zinanipa Ahueni Ya Muda Mfupi Tu. Baada ya Masaa Machache, Maumivu Yale Yale Yangejirudia Kwa Nguvu Zaidi.

Nilihisi Kuchoka Kiakili na Kimwili. Nilianza Kujiuliza Kama Ningeishi Maisha Yangu Yote Nikihangaika Na Mateso Haya. Nilipoteza Hamu Ya Kushirinana Na Marafiki, Nikaacha Kwenda KAZINI MARA Kwa Mara, Na Kila Mtu Aliona Jinsi Nilivyokuwa Nikizorota. Endelea kusoma zaidi hapa

Related Posts