Nature

Kabila Awakusanya Wapinzania wa TSHISEKEDI Jijini Nairobi

Rais wa zamani wa Congo, aliyehukumiwa kifo Septemba 30, ameitisha kongamano la kisiasa nchini Kenya.

Kongamano hilo linakuja wiki mbili baada ya kuhukumiwa kifo na Mahakama ya Kijeshi ya Congo, ambayo ilimpata na hatia ya uhaini na uhalifu dhidi ya amani.

Katika hukumu hiyo,Mahakama ya Kijeshi iliamuru kutaifishwa kwa mali zake na fidia ya Mamilioni ya fedha.

Kwa mujibu wa taarifa, Rais huyo wa zamani wa DRC amewaalika wapinzani kadhaa kwenye mkutano uliopangwa kuanza leo Oktoba 14 jijini Nairobi.

Related Posts