Naitwa Godfrey, mkazi wa zamani wa Sinza, Dar es Salaam. Kwa miaka saba nilikuwa namiliki ofisi ya stationary na huduma za intaneti. Licha ya kuwa na mashine za kisasa, ofisi yangu ilikuwa kama ina ‘mzimu’; wateja walikuwa wakija, wanauliza bei, kisha wanatoka na kwenda kwa jirani.
Nilikuwa naishi maisha ya ajabu, nakula mlo mmoja kwa siku huku nikiwa na madeni ya kodi ya pango yanayonukia mamilioni. Nilianza….CONTINUE READING
